iqna

IQNA

nabii isa masih
Shakhsia katika Qur'ani Tukufu /41
TEHRAN (IQNA) Nabii Isa Masih –Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake- (AS) ni mmoja wa wajumbe maalum wa Mwenyezi Mungu ambaye alisimamia, kwa mwenendo na hulka njema na hivyo kuvutia wafuasi wengi na kuwaalika watu wengi kumwabudu Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3477078    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/31

Sura za Qur’ani Tukufu /61
TEHRAN (IQNA) – Katika kila zama katika historia ya wanadamu, waumini wamejitahidi kulinda dini na kukabiliana na ukafiri. Hili ndilo lililofanywa na wanafunzi waaminifu wa Nabii Isa au Yesu –Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe JuuYake- wanaojulikana kama Hawariyun.
Habari ID: 3476549    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/12

Uislamu na Ukristo
TEHRAN (IQNA) – Katika mnasaba wa Krismasi, ambayo ni siku ya kuadhimisha siku ya kuzaliwa Nabii Isa Masih bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-,, qari wa Iraq alisoma aya za Sura Al Imran ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3476322    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih au Yesu -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
Habari ID: 3474752    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA) – Semina ya Nabii Isa Masih, yaani Yesu, -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-imefanyika nchini Kenya katika fremu ya 'Mazungumzo Baina ya Dini'.
Habari ID: 3473510    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31

Kwa mnasaba wa Krismasi
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-AS-).
Habari ID: 3472302    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/25

TEHRAN(IQNA)- Disemba 25 inasadifiana na siku aliyozaliwa Nabii Isa Masiih (as) kwa mujibu wa imani ya Wakristo waliowengi.
Habari ID: 3471325    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/26